Posts

Showing posts from August, 2020

MAANDALIZI YA KUMPOKEA MGOMBEA URAIS WA CCM MKOANI SINGIDA YANAENDELEA

Image
  Katibu wa Siasa na Uenezi wa  Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa  wa Singida Ahmed Kaburu, akionesha l lani ya  Chama cha Mapinduzi (CCM)   ya mwaka 2020-2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya  kumpokea mgombea Urais wa chama hicho Dkt.John Magufuli ambaye anatarajia kuwasili mkoani hapa kesho. Mabango yenye picha za mgombea huyo yakiwekwa Barabara Kuu ya Singida Dodoma.   Watoto Ashiruna Athumani (kushoto) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Utemini mkoani hapa  na wadogo zake wakitazama picha ya mgombea huyo iliyoweka viwanja vya Bombadia. Vijana wa Jeshi la Akiba wakisafisha eneo la uwanja utakapofanyika mkutano wa mgombea huyo. Uwanja utakapofanyika mkutano huo. Mabango yenye picha za mgombea huyo yakiwa yamewekwa Barabara Kuu ya Singida Dodoma.   Mafundi wakiendelea na kazi ya kusimika Jukwaa utakapofanyika mkutano huo.    Mafundi wakiendelea na kazi ya kusimika Jukwaa utakapo...

MSITU WA MINYUGHE ULIOPO IKUNGI MKOANI SINGIDA UPO HATARINI KUTOWEKA

Image
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida  ambaye pia ni mkuu wa wilaya hiyo, Edward Mpogolo (kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo, viongozi wa Kata ya Mwaru pamoja na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki, wakati akikagua Msitu wa Minyughe ambao umevamiwa na kufanyika uharibifu mkubwa wa mazingira. Miti ikiwa imekatwa kwenye msitu huo. Miti ikiwa imekatwa kwenye msitu huo. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida  ambaye pia ni mkuu wa wilaya hiyo, Edward Mpogolo (katikati) na  wajumbe wa kamati hiyo na viongozi wa Kata ya Mwaru  wakiangalia mkaa uliotelekezwa na wavamizi katika msitu huo. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida  ambaye pia ni mkuu wa wilaya hiyo, Edward Mpogolo (katikati) akiwaonesha wajumbe wa kamati hiyo mkaa uliotaifishwa na Serikali baada ya kutelekezwa na wavamizi katika Msitu wa Minyughe wilayani humo mwishoni mwa wiki w...

RPC MKOA WA SINGIDA AFANYA MKUTANO NA VIONGOZI WA DINI KUZUNGUMZIA UCHAGUZI MKUU

Image
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida,  Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Sweetbert Njewike, akizungumza na viongozi wa dini na  wadau wengine (hawapo pichani) katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa  Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Veta mkoani hapa jana. Baadhi ya viongozi wa dini waliokuwepo kwenye kikao hicho. Kikao kikiendelea. Mkuu wa Polisi Wilaya ya Singida, Florence Mwenda akiwa kwenye kikao hicho. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida,  Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Sweetbert Njewike, akisisitiza jambo kwa waandishi wahabari. Viongozi wa dini wakichukua taarifa hiyo. Usikivu katika kikao hicho.   Kikao kikiendelea.  Boniphace Jilili na Dotto Mwaibale, Singida. KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Singida,  Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Sweetbet Njewike ametoa rai kwa wananchi wa mkoa huo kujiepusha na makundi yanayolenga kuleta uvunjifu wa amani katika kipindi cha uchaguzi. Kamanda Njewike alitoa rai hiyo jana alipokutana na viongozi wa dini mkoani hapa ...

TAKUKURU WILAYA YA IKUNGI MKOANI SINGIDA YAOKOA NG'OMBE SABA NA SHAMBA LA EKARI 36

Image
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo (kushoto) akimkabidhi sh.150,000 mkazi ya Kitongoji cha Mfumbuwahumba, Jumanne Athumani ikiwa ni kurejeshewa haki yake na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani humo jana baada ya kudhurumiwa kwa njia ya kughushi nyaraka kwa kipindi cha miaka tisa. Katikati anaye shuhudia ni Mkuu wa TAKUKURU Ikungi, Erick Nyoni. Mkuu wa TAKUKURU wa Wilaya ya Ikungi, Erick Nyoni akielezea tukio hilo kwa mkuu wa wilaya kabla ya makabidhiano. Ng'ombe aliodhurumiwa Jumanne Athumani wakiwa nje ya Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Igombwe kabla ya kukabidhiwa. Baadhi ya wananchi na maafisa wa TAKUKURU waliofika kushuhudia makabidhiano hayo. Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Igombwe, Benjamin Ntandu akizungumzia tukio hilo kwa kifupi wakati akimkaribisha Mkuu wa TAKUKURU wa Wilaya ya Ikungi, Erick Nyoni kulizungumzia tukio hilo. Jumanne Athumani (katikati) akimshukuru mkuu wa wilaya hiyo baada ya kukabidhiwa ng'ombe na shamba lake. Mlalamikiwa kati...

ESTL YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI UUNDAJI KAMATI ZA KUPINGA MATUKIO YA UKATILI

Image
Mtendaji Mkuu wa Shirika  lisilo la kiserikali la  Empower Society Transform Lives (ESTL), Joshua Ntandu, akizungumza katika kikao kilicho wakutanisha wadau mbalimbali wa Kata ya Kinyagigi katika Wilaya ya Singida Vijijini kwa ajili ya kuunda kamati za vijiji za kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni    Afisa Maendeleo ya Jamii wa wilaya hiyo, Veronika Mure  na    Afisa Maendeleo ya Jamii wa Kata ya Kinyagigi, Nives Mapunda. Afisa Maendeleo ya Jamii wa wilaya hiyo, Veronika Mure, akizungumzia  majukumu ya Mtakuwwa. Wadau wakipitia mwongozo wa Mtakuwwa. Afisa Maendeleo ya Jamii wa Kata ya Kinyagigi, Nives Mapunda, (katikati) akizungumza katika kikao hicho. Afisa Mtendaji wa Kata ya Kinyagigi, Hamisi Mohamed,  akizungumza katika kikao hicho. Mwakilishi wa vijana wa kata hiyo, Alfred Mohamed, akizungumza kwenye kikao hicho.  Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mitula, akichangia jambo kwenye kikao hicho. Ma...