RC NCHIMBI ATAKA MANUFAA YA CHANJO YATANGAZWE
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akikata Utepe kuzindua Maadhimisho ya Wiki ya Chanjo kimkoa kwenye viwanja vya Kata ya Muhintiri, Tarafa ya Ihanja, Wilaya ya Ikungi jana. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Edward Mpogolo. Nchimbi akizungumza na kuhamasisha akina mama kuzingatia kuwafikisha watoto kwenye Vituo vya Afya kwa wakati na kupata dozi ya chanjo kamilifu ili kuwahakikishia afya bora katika ukuaji wao. Baadhi ya Wanawake wakifuatilia maadhimisho hayo. Kaimu Mganga Mkuu wa MkoawaSingida, Ernest Mgeta akizungumza wakati wa uzinduzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo akizungumza. Mratibu wa Chanjo Mkoa wa Singida, Jadili Mhanginonya (wa kwanza kushoto) na watendaji wengine kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakifuatilia mfululizo wa matukio ya uzinduzi huo Wauguzi wa Afya wakiw a wamejipanga kwa maandalizi ya uzinduzi watukio la Wiki ya Chanjo. Maadhimisho yakiendelea. Sherehe za uzinduzi huo zikiendelea. Na Godwin Myovela, Singida MKUU wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema ...