Posts

Showing posts from November, 2021

RC SINGIDA AKABIDHI BASI HOSPITALI YA MANDEWA KWA AJILI YA KUSAFIRISHIA WAFANYAKAZI.

Image
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge. Basi namba STL 9908 lililokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge kwa ajili ya wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida. Na Mwandishi Wetu, Singida. MKUU wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge amezindua Rasmi  na kukabidhi basi aina ya Coaster kwa ajili ya kusafirishia wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mandewa iliyopo mkoani hapo kama kitendea kazi kitakachowasaidia kuongeza ufanisi katika utendaji kazi. Akizungumza na wafanyakazi akiwa Hospitalini hapo baada ya kuwakabidhi basi Mkuu wa Mkoa amewapongeza watumishi kwa namna ambavyo wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira magumu  na wengi wao wakitumia bodaboda kufika kazini lakini pia hawakukata tamaa. RC Mahenge amemtaka Afisa usafirishaji wa Hospitali ya Mkoa wa Singida kuhakikisha basi hilo linatunzwa na kuzingatia muda wa  kufanyia huduma (service) kila inapofika muda wake ili kulifanya lidumu kwa muda mrefu na kuendelea kuwasaidia wat...

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUJIVUNIA MIAKA 60 YA UHURU

Image
 Afisa Vijana Mkoa wa Singida Frederick Ndahani (wa pili kutoka kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya wa  Taasisi ya Vijana ya Sisi ni Tanzania baada ya kumaliza kikao chao kilichofanyika Manispaa ya Singida mwishoni mwa wiki.

DC IKUNGI AOMBA KUMUOMBEA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Image
   Afisa Mtendaji wa Kata ya Dung'unyi Yahaya Njiku (katikati) akikata utepe kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro, kuashiria uzinduzi wa Album ya Kwaya ya Malezi ya Vijana Usharika wa Emanueli Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kati Singida juzi. Afisa Mtendaji wa Kata ya Dung'unyi Yahaya Njiku (katikati) akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro, katika uzinduzi wa Album hiyo.

MSTAHIKI MEYA JIJI LA ARUSHA MGENI RASMI KONGAMANO LA FURSA SEKTA YA MUZIKI

Image
Mstahiki Meya wa jiji la Arusha Maximillian Iranghe. Katibu Mkuu wa TAMUFO Stella Joel.

WAZIRI BASHUNGWA -TAMASHA LA KIHISTORIA LATUA MBEYA

Image
  Na. John Mapepele, WUSM Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Filamu nchini inatarajia kwa mara ya kwanza tangu Tanzania kupata uhuru wake kufanya tamasha kubwa la kihistoria la utoaji wa tuzo mbalimbali za filamu ambalo litafanyika Disemba 18, 2021 jijini Mbeya. Akizungumza na kwenye Mkutano wa Waandishi wa   wa habari jijini Mbeya, Novemba 29, 2021 Mhe. Bashungwa amesema sababu kubwa ya kufanyia kilele cha tuzo hizi jijini Mbeya ni kutambua uwepo wa wanatasnia ya filamu pamoja na wasanii katika mikoa na maeneo mengine nje ya Dar es Salaam ili kuamsha ari ya kufanya kazi za sanaa na hatimaye kujipatia ajira na kipato kitakacho boresha maisha yao.   “Tamasha hili linakwenda kufungua milango ya fursa mbalimbali zilizoko maeneo hayo katika uwanja huu wa filamu na Sanaa kwa ujumla kupitia idadi kubwa ya wapenzi wa filamu watakaokuwa wanafuatilia tukio hili ndani na ncje ya nchi...

JAJI WARIOBA AONGOZA MAHAFALI YA 38 YA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO SUA MOROGORO.

Image
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokine cha Kilimo (SUA) Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba akimtunuku Shahada ya Uzamivu mmoja wa wahitimu katika mahafali ya 38 ya chuo hicho yaliyofanyika jana mkoani Morogoro. Kiongzi Rasmi wa shughuli za Mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)  Mlau Profesa Kalunde Sibuga akiongoza msafara wa Mkuu wa chuo kuingia kwenye ukumbi wa mahafali yaliyofanyika jana mkoani humo.   Mlau Profesa Kalunde Sibuga akitoa neno la ukaribisho wakati wa ufunguzi wa mahafali hayo. Wahitimu wakiwa kwenye mahafali hayo.

DC HANANG' AONGOZA SHUGHULI MBALIMBALI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU

Image
Mkuu wa Wilaya ya Hanang' mkoani Manyara, Janeth Mayanja akipanda mti ikiwa ni moja ya shughuli zilizofanyika katika Maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyofanyika leo  katika Viwanja vya Shule ya Msingi ya Katesh. Mkuu wa Wilaya ya Hanang' mkoani Manyara, Janeth Mayanja akiwa na viongozi mbalimbali kwenye maadhimisho hayo.

WAZIRI NDAKI AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA OMAN

Image
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Desert Cold Store kutoka Oman, Dkt. Munawar Pardhan  alipokutana na Wawekezaji kutoka nchini Oman jijini Dar es Salaam jana. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki (katikati) akibadilishana mawazo na sehemu ya Wawekezaji waliomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2021. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Desert Cold Store kutoka Oman, Dkt. Munawar Pardhan.

DC SAME AONGOZA MAOMBI MAALUMU YA KUIOMBEA NCHI IPATE MVUA

Image
Mkuu wa Wilaya ya Same Edward Mpogolo akizungumza katika mkutano wa maombi maalumu wa kuliombea Taifa lipate mvua uliofanyika wilayani humo. Mkutano ukiendelea. Mkutano ukiendelea. Viongozi wa Dini wakiwa kwenye mkutano huo. Mkuu wa Wilaya ya Same Edward Mpogolo akisisitiza jambo kwenye mkutano huo. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Same Isaya Mngulu, akizungumza wakati wa maombi hayo. Askofu Mstaafu Jimbo Katoliki la Same Jacob  Koda akizungumza kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea. Mkuu wa Wilaya ya Same Edward Mpogolo (katikati waliokaa) akiwa na viongozi wa Dini na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kufanya maombi maalumu ya kuombea nchi ipate mvua. Na Mwandishi Wetu, Same. MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Edward Mpogolo ameongoza maombi maalumu ya kuiombea nchi ipate mvua ili kunusuru maisha ya watu na wanyama. Maombi hayo muhimu yaliwahusisha, viongozi wa dini, wazee pamoja na wananchi. Kati ya maeneo ambayo yanatajwa kuathirika zaidi na mabadiliko...

MKUU WA WILAYA TANDAHIMBA AIPONGEZA REA KWA KAZI NZURI

Image
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba, Kanali Patrick Sawala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Wakili Julius Kalolo (wa tatu-kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy (wa tatu-kulia) na wataalam kutoka REA na TANESCO jana. Ujumbe wa REA ulikuwa katika ziara ya kazi. Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba, Kanali Patrick Sawala akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Wakili Julius Kalolo na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy (hawapo pichani). Viongozi hao wa REA walimtembelea Mkuu wa Wilaya ofisini kwake jana. Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba, Kanali Patrick Sawala (katikati) akionesha vijiji vya wilaya hiyo vilivyofikiwa na umeme na ambavyo havijafikiwa kwa kutumia ramani ya mkoa wa Mtwara kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Wakili Julius Kalolo (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy (kushoto). Viongo...

NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI KASEKENYA AWAPONGEZA TANRODS SINGIDA UJENZI WA DARAJA LA MSINGI

Image
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya    (katikati) akizungumza na wataalamu wakati akikagua Daraja la Msingi lenye thamani ya Sh.Bilioni 10.9 linalojengwa wilayani Mkalama mkoani Singida wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja aliyoifanya hivi karibuni. Meneja wa Wakala wa Barabara  Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Singida Mhandisi Matari Masige (kulia) akimuelekeza jambo Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya

WANANCHI NALASI MASHARIKI KUWASHIWA UMEME WA REA

Image
p> Kazi ya kuchimba mashimo kwa ajili ya kusimika nguzo za umeme ikiendelea katika kijiji cha Likuyu Mandela, wilayani Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma, wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, jana. Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa REA Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Pili wilayani Namtumbo (kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini Wakili Julius Kalolo (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy (kofia nyeusi), walipokuwa kwenye ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini.

WATAALAMU UHIFADHI MISITU WA SERIKALI WATAKIWA KUCHAPA KAZI

Image
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack akizungumza juzi na waandishi wa habari ( hawapo pichani) ambao walikuwepo mkoani humo katika ziara ya kujifunza kuhusu utekelezaji wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu ambayo iliratibiwa na Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG) na Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu (MJUMITA) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo na Ushirikiano la Uswis (SDC) Mkutano na waandi wa habari ukiendelea, Afisa Uhusiano wa TFCG Bettie Luwuge akizungumza kwenye mkutano huo. Afisa Sera na Majadiliano wa TFCG Elida Fundi  akizungumza kwenye mkutano huo. Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack akizungumza na maofisa wa Mashirika ya TFCG na MJUMITA baada ya mkutano na waandishi wa habari. Afisa Uhusiano wa TFCG Bettie Luwuge na Afisa Sera na Majadiliano wa TFCG Elida Fundi. Picha ya pamoja baada ya mkutano huo. Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi. Na Dotto Mwaibale,   Lindi. WATAALAMU wa Uhifadhi misitu Serikalini wametakiwa kufanya kazi kw...

MBUNGE MATTEMBE SINGIDA AENDELEA KUGAWA MBEGU ZA ALIZETI KWA MAKUNDI MBALIMBALI YA WANAWAKE

Image
Mbunge wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida Aysharose Mattembe (katikati) akigawa mbegu bora za alizeti kwa Vikundi mbalimbali vya Wanawake mkoani Singida jana, ikiwa ni mwendelezo wa kuunga mkono juhudi za serikali katika kuhamasisha kilimo cha zao hilo. Mbunge wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida Aysharose Mattembe (kuliai) akigawa mbegu bora za alizeti kwa Vikundi mbalimbali vya Wanawake mkoani Singida jana.. Zoezi la ugawaji mbegu likiendelea. Mbegu zikipokelewa. Vikundi mbalimbali vya akimama Wilaya ya Singida mjini wakionyesha mifuko ya mbegu bora za alizeti muda mfupi baada ya kukabidhiwa na Mbunge Mattembe. Katibu wa CCM Wilaya ya Singida Mjini Shaban Karage akikabidhi baadhi ya mifuko ya mbegu hizo kwa wanawake wa wilaya hiyo kwa niaba ya Mbunge. Baadhi ya Wanawake wakitazama mbegu hizo wakati wa zoezi la makabidhiano. Mbunge Mattembe akizungumza kwenye tukio hilo, kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Lucy Shee. Zoezi likiendel...