MKOA WA SINGIDA WAKAMILISHA UJENZI WA MADARASA 664 YA UVIKO 19 YALIYOGHARIMU SH.13.4 BILIONI
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Binilith Mahenge (katikati) akikata utepe kuashia kupokea moja ya darasa la Uviko-19 kati ya 664 yaliyojengwa mkoani humo lililojengwa Shule ya Sekondari ya Issuna wilayani Ikungi mkoani Singida. Mkuu wa Mkoa Singida Dk. Binilith Mahenge akisisitiza jambo wakati akipokea madarasa hayo Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Binilith Mahenge (katikati) akifurahia ukamilikaji wa madarasa ya Uviko-19 akiwa amekaa na wakuu wa wilaya wa mkoa wa Singida na viongozi wengine. Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dorothy Mwaluko akizungumza katika hafla hiyo. Mkuu wa Wlaya ya Ikungi Jerry Muro akizungumzia utengenezaji wa madawati hayokatika wilaya hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Singida Paskas Muragili akizungumzia utengenezaji wa madawati katika wilaya hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Sophia Kizigo akitoa taarifa ya utengenezaji wa madawati. Mkuu wa Wilaya ya Iramba Selemani Mwenda akitoa taarifa ya utengenezaji wa madawati mbele ya mkuu wa mkoa. Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Rahabu Mwagisa akito...