WAZAZI SINGIDA WAOMBWA KUWARUHUSU WATOTO KUJIUNGA NA SKAUTI
Kijana wa Skauti akitoa maelezo ya shughuli zinazofanywa na chama hicho wakati wa maadhimisho ya siku ya Mwanzilishi wa Skauti Duniani Baden Powells yaliyofanyika Shule ya Msingi ya Kindai iliyopo Manispaa ya Singida mwishoni mwa wiki.. Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Singida akitoa mafunzo ya jinsi ya kujiokoa na majanga mbalimbali katika maadhimisho hayo. Kushoto mwenye Skafu ni Afisa Vijana Mkoa wa Singida Frederick Ndahani.