RC SINGIDA ATAHADHARISHA WANANCHI KUTOUZA CHAKULA OVYO, HALI NI MBAYA
Mkuu wa Mkoa Singida Dk.Binilith Mahenge akizungumza na Wananchi wa Ikungi mkoani humo katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero zao na kuzitafutia ufumbuzi uliofanyika viwanja vya Stendi ya Mabasi leo Juni 30, 2022. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk.Binilith Mahenge (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Jerry Muro (wa kwanza kushoto) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Justice Kijazi wakipokea kero kutoka kwa mwananchi aliyefika kwenye mkutano huo. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Justice Kijazi akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali katika mkutano huo. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro akizungumza kwenye mkutano huo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Ally Mwanga akichangia jambo kwenye mkutano huo. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi (ACP) Lukas Mwakatundu akizungumza kwenye mkutano huo. Kamanda wa Uhamiaji Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi (ACP) Phaustine Ngunge akizungumza k...