Posts

Showing posts from August, 2022

MSAJILI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI ATEMBELEA JOWUTA

Image
Katibu Mkuu wa JOWUTA Selemani Msuya (kulia) akitoa maelezo kwa Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi nchini, Pendo Berege ambaye ametembelea ofisi za makao makuu ya JOWUTA yaliyopo Chang'ombe Madukani wilayani Temeke jijini Dar es Salaam.   Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi nchini Pendo Berege akisaini kitabu cha wageni cha JOWUTA alipotembelea ofisini za makao makuu yake.

SINGIDA YAPUNGUZA UDUMAVU WA WATOTO WADOGO KWA ASILIMIA 10

Image
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida, Victorina Ludovick (aliyesimama) akichangia jambo katika moja ya mikutano  ya kuhamasisha matumizi ya Lishe bora kwa watoto mkoani hapa. Lishe bora kwa watoto wadogo ni suluhisho la udumavu kwa jamii kama afanyavyo mama huyu.

SHEIKH MKOA WA SINGIDA, KATIBU MWENEZI WA CCM WAHESABIWA WATOA KAULI NZITO YA SENSA

Image
Sheikh wa  Mkoa wa Singida,Issa Nassoro akihesabiwa na Karani wa Sensa wakati wa zoezi la kuhesabiwa lililofanyika nyumbani kwake eneo la Manguanjuki nje Kidogo ya Manispaa ya Singida jana. Sheikh wa  Mkoa wa Singida,Issa Nassoro, Karani wa Sensa ya Watu wa Makazi akiwa katika picha ya pamoja na familia yake baada ya kuhesabiwa.

SENSA YASHIKA KASI SINGIDA, RC ATOA WITO WANANCHI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA MAKARANI

Image
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba,  akihesabiwa na Karani wa Sensa, Jasmini Kinga katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi nyumbani kwake Mtaa wa Utemini mkoani hapa leo hii Agosti 23, 2022.  Karani wa Sensa ya Watu na Makazi, James Rutihinde akijitambulisha kwa Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dorothy Mwaluko kabla ya zoezi hilo lililofanyika nyumbani kwake mkoani hapa. Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Mulagiri  akihesabiwa na Karani wa Sensa, Peter Samike katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi nyumbani kwake mkoani hapa leo hii Agosti 23, 2022.

SERIKALI YATOA PIKIPIKI KWA RUWASA, JUMUIYA ZA WATUMIA MAJI SINGIDA

Image
Mkuu wa Mkoa wa Singida,Peter Serukamba (katikati) akikata utepe kuashiria kuzipokea na kuzigawa pikipiki tisa kwa Jumuiya za Watumia Maji (CBWSOs) na kwa watendaji wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) katika hafla iliyofanyika leo Agosti 22,2022 katika Ofisi za Bodi ya Maji Bonde la Kati mjini hapa. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Tawala Msaidi anayeshughulikia Uzalishaji na Uchumi Mkoa wa Singida, Stanslaus Choaji, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Alhajj Juma Killimbah, Meneja wa RUWASA Mkoa wa Singida, Lucas Said na Afisa Maji Bodi ya Maji Bonde la Kati, Danford Samson. Pikipili zilizotolewa na Serikali.

DIWANI IRAMBA ALIYEKUFA KWA AJALI AZIKWA NA MAELFU YA WATU, SIRI MABASI KWENDA MWENDO KASI YAFICHUKA

Image
Diwani Winjuka Songelaeli Mkumbo akiwa katika pozi enzi za uhai wake. Vijana wa Green Gurd wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iramba mkoani Singida wakiwa wamebeba jeneza lenye Mwili wa Diwani wa Viti Maalum wa Tarafa ya Kinampanda, Winjuka Songelaeli Mkumbo wakati wakiupeleka kwenye ibada ya mazishi iliyofanyika Kijiji cha Simbalugwala Kata ya Mukulu jana. Diwani Winjuka alifariki dunia kwa ajali ya gari Agosti 17, 2022 baada ya Basi la Tanzanite lenye namba za usajili T 916 DNU alilokuwa akisafiria kutoka Singida kwenda Dar es Salaam kuacha njia na kupinduka Mlima Saranda uliopo Wilaya ya Manyoni na kusababisha vifo vya watu watano na wengine kujeruhiwa. Marehemu Winjuka Songalaeli Mkumbo enzi za uhai wake. Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba wakiwa wamejipanga tayari kwa kuelekea ibada ya mazishi ya mwenzao Winjuka Songalieli Mkumbo yaliyofanyika jana Kijiji cha Simbalugwala. Madiwa hao wakiwa tayari kwa ajili ya ibada hiyo iliyoongozwa na Askofu wa Kanisa la Assemblies ...