REA YAWANOA WABUNGE KUHUSU MRADI WA KUSAMBAZA NISHATI SAFI YA KUPIKIA VIJIJINI
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azan Zungu, akifungua Semina ya kuwajengea uwezo Wabunge Wanawake kuhusu Mradi wa kusambaza nishati safi na salama ya kupikia vijijini, iliyofanyika Dodoma, Septemba 22, 2022. Semina hiyo iliandaliwa na REA. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dunstan Kitandula, akizungumza wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo Wabunge Wanawake kuhusu Mradi wa kusambaza nishati safi na salama ya kupikia vijijini, iliyofanyika Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy akizungumza wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo Wabunge Wanawake kuhusu Mradi wa kusambaza nishati safi na salama ya kupikia vijijini, iliyofanyika Dodoma. Mgeni Rasmi katika Semina ya kuwajengea uwezo Wabunge Wanawake kuhusu Mradi wa kusambaza nishati safi na salama ya kupikia vijijini, ambaye ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Azzan Zungu (katikati) akifuatilia Mada zilizokuwa zikiwasilishwa. Wengine pich...