Posts

Showing posts from October, 2022

RC SINGIDA : SUALA LA LISHE BORA KWA JAMII NI LA KUFA NA KUPONA

Image
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, akizungumza na wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri za Mkoa wa Singida  wakati akitiliana saini mkataba na ikiwa ni agizo lililotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan alipokutana na wakuu wa mikoa jijini Dodoma ambapo    aliwaagiza kujipanga na kuongeza jitihada za kuhamasisha utekelezaji wa shughuli za lishe bora. Kaimu Afisa Lishe Mkoa wa Singida, Christoweru Barnabas akiwasilisha mpango huo. Taswira ya kikao hicho cha kutiliana saini mkataba huo. Mkuu  wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, (kulia)na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Suleiman Mwenda wakisaini mkataba huo. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya hiyo, Michael Matomora. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilayaya Singida DC, Ester Chaulaakisaini mkataba huo. Viongoziwa Halmashauri ya Manispaa ya Singidawakisaini mkataba huo. Mkuu  wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, (kulia)na Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, SophiaKizigo (kushoto) wakis...

WATANZANIA WAASWA KUACHA KUHAMISHIA FARAGHA MTANDAONI

Image
Mkurugenzi Msaidizi wa Usalama Mtandao wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Stephen Wangwe akizungumza katika mafunzo ya usalama mtandao kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) leo Oktoba 25, 2022 .   Mkurugenzi Msaidizi wa Usalama Mtandao wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Stephen Wangwe  akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo. Washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo. Mafunzo yakiendelea.. Mafunzo yakitolewa.   ................................................. Na Mwandishi wetu, WHMTH, Zanzibar.   WATANZANIA wameshauriwa kuacha tabia ya kuchapisha picha na video za faragha mtandaoni kwa kuwa ni kinyume na maadili ya kitanzania lakini pia mhusika anaweza kupata madhara ya kisaikolojia kutokana na udhalilishaji anaoweza kuupata mtandaoni.   Mkurugenzi Msaidizi wa Usalama Mtandao wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Stephen Wangwe amezung...

RUVU SEKONDARI YAHITAJI MILIONI 794 KUFANIKISHA UJENZI WA UZIO

Image
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ruvu mkoani Pwani wakiwa wamebeba keki iliyotolewa na wanafunzi waliosoma katika shule hiyo kuanzia mwaka 1977 hadi sasa ikiwa ni ishara ya kuzindua Kampeni ya ujenzi wa kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uzio wa Shule hiyo ili kuimarisha usalama wa wanafunzi wa kike. Mkuu wa Shule ya Sekondari Ruvu mkoani Pwani Juliana Chimanzi (wa tatu kulia) akiwa na baadhi ya walimu waliofundisha katika shule hiyo( walioko kulia) wakiwa na baadhi ya wanafunzi waliosoma shuleni hapo kuanzia mwaka 1977 wakikata keki kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa uzio wa Shule hiyo .Wanafunzi hao wameamua kuchangishana fedha ili kusaidia kununua sehemu ya vifaa vya ujenzi na kukabidhi kwa uongozi wa Shule hiyo jana. Zawadi zikitolewa. Victoris Massawe( wa pili kulia) ambaye ni moja ya wanafunzi waliosoma katika Shule ya Ruvu Sekondari ambaye pia ni mmoja ya Waratibu wa michango ya wanafunzi akikabidhi tofali kwa Waziri MKuu wa Wanafunzi wa Shule hiyo Minael Katamba (kushoto) jana ...

VETA YATOA SHUKRANI KWA RAIS SAMIA KWA KUTOA FEDHA ZA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI

Image
Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Kati Dodoma, John Mwanja akitoa taarifa kuhusu ujenzi wa chuo hicho kwa  Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Neema Mwakalyelye (kushoto) , wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja ya kukagua ujenzi wa chuocha VETA wilayani Ikungi mkoani hapa juzi. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro. Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Neema Mwakalyelye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Ikungi. Kutoka kulia waliosimama mbele ni ni Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Ikungi, Erick Nyoni, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Singida,Widege Mzalendo, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi,Jerry Muro, Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Mika Likapakapa na Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Kati Dodoma, John Mwanja. Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Ikungi (OCD) Suzana Kidiku na kushoto kwake ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Winfrida Funto.   Na D...

TAKUKURU YAIPONGEZA VETA KWA UJENZI CHUO CHA UFUNDI WILAYA YA IKUNGI

Image
Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Neema Mwakalyelye akizungumza na viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Ikungi juzi wakati wa ziara yake ya siku moja ya kukagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi   ambapo aliipongeza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)-Kanda ya Kati-Dodoma kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa mradi wa Chuo cha Ufundi cha VETA Wilaya ya Ikungi mkoani Singida. Msimamizi wa ujenzi wa chuo hicho, Daudi Mrutu (kushoto) akitoa maelezo ya ujenzi wa chuo hicho kwa  Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Neema Mwakalyelye (wa nne kutoka kulia. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Singida, Widege Mzalendo, Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Kati Dodoma, John Mwanja na  Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Ikungi, Erick Nyoni. Ukaguzi wa jengo la Utawala wa chuo hicho ukifanyika. Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Kati Dodoma, John Mwanja (wa pili kulia) akitoa maelezowakati wa ukaguzi wa je...