Posts

DAS IKUNGI AONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA CHANJO YA MATONE YA POLIO KWA WATOTO

Image
Katibu Tawala (DAS) wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Winfrida Funto akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya utoaji wa chanjo ya polio kwa wilaya hiyo uliofanyia leo Mei 19, 2022. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Dk. Anthony Mwangolombe na kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa wilaya hiyo, Oliva Njoka. Katibu Tawala (DAS) wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Winfrida Funto, akizungumza na wakina mama waliofika kwenye uzinduzi huo (hawapo pichani) Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Dk. Anthony Mwangolombe, akizungumza kwenye uzinduzi huo.

RC SINGIDA AONGOZA KAMPENI YA SIKU NNE YA CHANJO YA MATONE YA POLIO KWA WATOTO

Image
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk.Binilith Mahenge akizungumza na wananchi wa Iguguno wilayani Mkalama wakati alipoongoza uzinduzi wa kampeni ya chanjo ya polio uliofanyika leo Mei 18,2022 Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk.Binilith Mahenge akiwa amempakata mtoto kabla ya mtoto huyo kupata chanjo hiyo. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk.Binilith Mahenge akiwa amempakata mtoto wakati mtoto huyo akipatiwa chanjo hiyo. Wananchi wa Iguguno wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi wa kampeni hiyo. Kampeni hiyo ikizinduliwa. Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, Ibrahim Pazia akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Sophia Kizigo akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo ambapo aliwahimiza wananchi wa wilaya hiyo kuwapeleka watoto wao kupata chanjo hiyo.  Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida, Victorina Ludovick  akiwa amembeba mtoto wakati akisubiri kupata chanjo. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Asia Messos akiwa amempakata mtoto wakati akipatiwa chanjo hiyo. Viongoz...

SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUWEKEZA KWENYE UBUNIFU NCHINI

Image
Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Othman Masoud akitoa hotuba yake ya ufunguzi. Prof. Gerald Misinzo akitoa maelezo kwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Othman Masoud alipotembelea banda la SUA.  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Prof. Raphael Chibunda akitoa maelezo kwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Othman Masoud kuhusu panya wanavyoweza kutambua makohozi yenye TB sambamba na utambuzi wa mabomu.

MAKUMBUSHO YA TAIFA YA VIUMBE ARUSHA YATOA ELIMU KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MAKUMBUSHO KITAIFA DUNIANI

Image
   Mkurugenzi Mtendaji wa Makumbusho ya Viumbe Arusha,  Dk. Christine Ngereza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika maadhimisho ya Siku ya Makumbusho Kitaifa Duniani iliyoadhimishwa leo Mei 18, 2022.  Na Dotto Mwaibale KATIKA kuadhimisha Siku ya Makumbusho ya Kitaifa Duniani Makumbusho ya Taifa ya Viumbe iliyopo  Arusha  imetumia Siku hiyo kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuwa na makumbusho. Akizungumza leo Mei 18, 2022 na waandishi wa habari Mkurugenzi Mtendaji wa Makumbusho hayo Dk. Christina Ngereza alisema wametumia siku hii kutoa elimu kwa Umma kuhusu Makumbusho ni nini, Umuhimu wa Makumbusho katika maendelo ya nchi na haja ya kuwa na Makumbusho nyingi mbalimbali Tanzania.  Aidha alisema kulikuwa na uhamasishaji  wananchi, Serikali jinsi ya utayarishaji wa makumbusho za aina mbalimbali hapa nchini hasa katika maeneo ya pembezoni kwa lengo la kuwa na vivutio vya utalii. Alisema hapa nchini kuna makumbusho zinazomilikiwa na Se...

SEMINA YA KUMUINUA MWANAMKE KISAIKOLOJIA KUPONYA NDOA ZILIZOTETELEKA IRAMBA

Image
Mtaalamu wa Saikolojia Dk. Nkwabi Sabasaba kutoka jijini Dar es Salaam akiendesha Semina ya Kuwainua Wanawake Kisaikolojia iliyofanyika mwishoni mwa wiki Kata ya Kizaga wilayani Iramba mkoani Singida.  Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Iramba, Jane Ng'ondi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi wa wilaya hiyo, Rudia Kidaila akizungumza kwenye semina hiyo.

RC SINGIDA AFUNGUA TAMASHA LA MICHEZO LA WANAFUNZI WA TAASISI YA UHASIBU SINGIDA

Image
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Sophia Kizigo, akizungumza jana kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida wakati akifungua wiki ya michezo ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Kampasi ya Singida   iliyoanza juzi mkoani hapa.   Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Sophia Kizigo, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa wiki hiyo ya michezo.   Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Sophia Kizigo, akipiga mpira wakati wa ufunguzi huo.   Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, akiwa na viongozi mbalimbali wa Taasisi hiyo. Kulia ni Meneja wa TIA Kampasi ya Singida Dk.James Mrema. Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Sophia Kizigo, akikagua timu katika ufunguzi huo.   Mazoezi ya viungo yakifanyika. Mazoezi yakiendelea. Mazoezi yakiendelea. Mazoezi yakiendelea siku ya kwanza ya tamasha hilo la michezo. Mazoezi yakifanyika. Jogging ikifanyika. Mashabiki wakifuatilia michezo iliyokuwa ikifanyika. Michezo ikiendelea. michezo ikiendelea. Kivumbi kikitimka wakati wa michezo hiyo. Mazoezi yakifanyika. Timu    zikiingia uwa...

SINGIDA GOLDEN MARATHON YAZINDULIWA RASMI

Image
 Mwenyekiti wa Kamati ya Singida Golden Marathon ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Singida Golden Runners , Raymond Msangi akizunguza wakati wa uzinduzi wa Singida Golden Marathon uliofanyika juzi Viwanja vya Peoples mjini hapa  ambao ulifanyika sanjari na kuanza mazoezi ya Jogging kuelekea kilele cha mbio hizo zitakazofanyika Julai 23, 2022.. Katibu wa Singida Golden Mrathon Nemes Mushi akizungumza kwenye uzinduzi huo  Washiriki wa mazoezi hayo wakijiandaa kwa kufanya jogging. Wadau wakiwa viwanja vya Peoples wakati wa uzinduzi huo. Mazoezi yakifanyika kabla ya kuanza kukimbia kilometa tano.