Posts

Showing posts from July, 2020

I&M BANK TANZANIA SUPPORTS THE MIDDLE INCOME STATUS,INAUGURATES ITS MAIN BRANCH AS IT LAUNCHES A SPECIAL ‘I&M TUNAWEZA WOMEN ACCOUNT’

Image
Dar es Salaam. I&M Bank Tanzania announced the Inauguration of its relocated Main Branch as well as the launch of their first-ever account, exclusively for women in Tanzania.  This two-tier event took place at their Main Branch new premises located at Indira Gandhi Street next to NIDA Textile building, on 15 th  July, 2020. The newly refreshed branch is testimony of I&M Bank’s commitment to the market and its customers; loyal to the Bank for over 10 years having taken over from CF Union. Dr. Bernard Y. Kibesse, BOT Deputy Governor, officiated the inauguration and further commended I&M for its good work in support of the economy. Speaking during the inauguration, Dr. Kibesse further applauded the Bank for its understanding of the needs of their customers and responding positively by ensuring they get the best experience while visiting the Bank, “10 years of existence in the market, with extensive trend of profit making gives the market a very high promisi...

JPM AMWAGA KIWANDA KIKUBWA CHA KUKU NA KLINIKI YA KISASA YA MIFUGO SINGIDA

Image
Waziri wa Mifugo na Uvuvi (mwenye kofia nyeusi) Luhaga Mpina akishiriki katika zoezi la uchanjaji wa mifugo kitaifa pamoja na wataalam wa mifugo lililofanyika leo kwenye kijiji cha Kinyangiri wilayani Mkalama mkoani Singida ambapo Serikali imeahidi kuwezesha kujenga kiwanda kikubwa cha machinjio ya kisasa kitakacholisha Tanzania na nchi mbalimbali duniani. Waziri wa Mifugo na Uvuvi (mwenye kofia nyeusi) Luhaga Mpina wa kwanza kulia akifuatiwa na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Singida ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Injinia Jackson Masaka na Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida ndugu Beatus Choaji wakiwa kwenye sherehe za uzinduzi wa uchanjaji wa mifugo kitaifa pamoja na wataalam wa mifugo lililofanyika leo kwenye kijiji cha Kinyangiri wilayani Mkalama mkoani Singida. Waziri wa Mifugo na Uvuvi (mwenye kofia nyeusi) Luhaga akionyeshwa kifaa maalum cha kuchanjia mifugo wakati wa zoezi la uchanjaji wa mifugo kitaifa pamoja na wataalam wa mifugo lililofanyika leo kwenye ...

SPORTPESA YAIPA SIMBA SC SH MILIONI 100 KWA KUTWAA TAJI LA LIGI KUU TANZANIA BARA

Image
Wadhamini wakuu wa klabu ya Simba SC, Sport Pesa Tanzania wakiwakabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Milioni 100, Nahodha wa klabu hiyo, John Raphael Bocco baada ya kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululzo. Fedha hizo zimetolewa kama sehemu ya makubaliano ya mkataba wa udhamini uliosainiwa mwaka 

TAKUKURU MKOA WA SINGIDA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI HAKIMU, MZAZI MWENZAKE KWA TUHUMA ZA KUOMBA RUSHWA

Image
  Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida , Adili Elinipenda, akizungumza leo asubuhi kuhusu kukamatwa, Bahati  Ilikunda Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kilimatinde wilayani Manyoni na Mzazi mwenzake Haji Bwegege kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa. Kulia ni Afisa wa TAKUKURU, Shemu Mgaya. Maafisa wa TAKUKURU wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari. Na Dotto Mwaibale, Singida TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida inatarajia kuwafikisha kwenye Mahakama ya Wilaya ya Manyoni, Bahati  Ilikunda Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kilimatinde na Mzazi mwenzake Haji Bwegege ambao kwa pamoja wanatuhumiwa kwa makosa ya kuomba na kupokea Rushwa kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na.11 ya Mwaka 2007. Akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ofisi  za PCCB, Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Singida, Adili Elinipenda, alisema walipokea taarifa kutoka kwa mwananch...

NDALICHAKO ATIMIZA AHADI ATOA VYEREHANI 10 VETA MPANDA

Image
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ametimiza ahadi ya kutoa vyerehani 10 kwa wanafunzi waliohitimu​ mafunzo ya ushonaji kutoka Chuo cha Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi​ Mpanda​ wanaotoka katika mazingira magumu. ​ Akizungumza katika halfa hiyo Mkoani Katavi, Profesa Ndalichako amesema ahadi hiyo aliitoa​ mwaka 2018 baada ya kuwakuta vijana wadogo wamemaliza masomo ya darasa la saba na kushindwa kuendelea na masomo ya sekondari​ na kujiunga na mafunzo ya ushonaji katika chuo hicho kupitia msaada wa kanisa. ​ “Mwaka juzi nilifika katika chuo hiki na kuwakuta hawa vijana wawili wadogo wakiwa katika mafunzo ya ushonaji na nilipozungumza nao niligundua kuwa wametoka katika mazingira magumu, hivyo kushindwa kuendelea na masomo ya sekondari, ndipo nilipowaahidi kuwapatia vyerehani watakapomaliza ili viwawezeshe kujiajiri.​ Hata hivyo, nimetoa vyerehani 10 ili na wengine wenye mazingira ya namna hiyo waweze kupata,” amesema Waziri Ndalichako. ​ Aidha, W...

DKT. NCHIMBI AMPA TANO RAIS KWA KUIINGIZA TZ KATIKA UCHUMI WA KATI

Image
 Mkuu wa MKoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akifunga  mafunzo maalum ya  siku sita kwa wadau zaidi ya 300 kutoka katika mikoa mbalimbali nchini  yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Taifa  la watu wanaoishi na  virusi vya UKIMWI (NACOPHA) kupitia “Mradi wa Hebu Tuyajenge” unaotekelezwa katika kipindi cha miaka mitano 2019-2024, unaofadhiliwa na  Shirika la Marekani  la  Maendeleo ya Kimataifa (USAID) katika mikoa 22 Tanzania Bara. kushoto Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Rahabu Mwagisa, Kulia Mkurugenzi wa Utatifi wa NACOPHA  Pantaleo Shoki >Awataka wenye virusi kufanya kazi bila hofu                                        >Awaonya wanaomchokoza,asisitiza hatatia nia Na John Mapepele Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi am...