Posts

Showing posts from July, 2021

SERIKALI YATOA SH.173 MILIONI KWA AJILI YA MAFUNZO YA UFUNDI KWA VIJANA SINGIDA.

Image
Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Musa Sima, akionesha umahiri kwa kushona nguo wakati alipotembelea chuo cha  ufundi na marekebisho kwa watu  wenye ulemavu cha Sabasaba (VTC) kilichopo Kata ya Utemini mjini hapa.. Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Musa Sima, akizungumza na wanafunzi wa chuo hicho. Mkuu wa chuo hicho, Fatuma Malenga akizungumzia juu ya utekelezaji wa program ya kukuza ujuzi kwa vijana inayofadhiliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu. Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Musa Sima, akimsalimia kwa unyenyekevu mkubwa mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho.   Na Dotto Mwaibale, Singida. SERIKALI imetoa Sh.173.7 kwa ajili ya gharama ya mafunzo ya ufundi kwa vijana mkoani hapa. Hayo yamesemwa jana na Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Musa Sima wakati alipotembelea   chuo cha  ufundi na marekebisho kwa watu  wenye ulemavu cha Sabasaba (VTC) kilichopo Kata ya Utemini mjini hapa. Akiwa chuoni hapo Sima aliweza kuzungumza na vijana 70 wanaopata el...

MAFIA WASHAURIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA PASS KUKUZA BIASHARA ZAO.

Image
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya PASS Trust, Anna Shanalingigwa akizungumza Wadau wa kilimo, uvuvi na ufugaji wilayani Mafia katika warsha ya siku mja iliyofanyika jana. Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Martin Mtemo ambaye alikuwa mgeni rasmi akizungumza katika warsha hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Mafia,Martin Mtemo (katikati) akiwa na timu ya Wafanyakazi wa PASS walipotembelea Kiwanda cha Usamabazaji Samaki cha Mkaire General Supplies kinacho milikiwa na  Ismail Kamugisha Mkazi wa Mafia ambaye amekiboresha baada ya kuwezeshwa na PASS. Na Mwandishi Wetu, Mafia WADAU wa kilimo, uvuvi na ufugaji wilayani Mafia wameaswa kutumia fursa ya Upatikanaji wa mikopo ya fedha na zana za kisasa za kutendea kazi zao kupitia huduma zinazowezeshwa na Taasisi ya PASS TRUST ikishirikiana na Kampuni tanzu yake ya PASS LEASING. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Martin Mtemo alipokuwa akizungumza na wadau hao walipokutana katika warsha maalumu ya wiki ya PASS iliyoandaliwa na Kampuni hiyo wi...

KANISA KATOLIKI JIMBO LA SINGIDA LAPATA PIGO VILIO MAJONZI VYATAWALA KANISANI

Image
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Marehemu Ibrahimu Hussein ambaye alikuwa mfanyakazi wa Jimbo Katoliki Singida aliyefariki dunia mwanzoni mwa wiki wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Misheni ya Makiungu mkoani Singida. Marehemu Ibrahimu Enzi za Uhai wake. Askofu wa Jimbo Katoliki Singida Mhashamu Edward Mapunda (katikati) akiongoza ibada ya Misa Takatifu ya kuaga mwili wa marehemu Ibrahimu Hussein.Kulia ni Paroko Msaidizi wa Parokia ya  Moyo Mtakatifu wa Yesu, Father Kinanda. Ibada hiyo ikiendelea. Askofu wa Jimbo Katoliki Singida Mhashamu Edward Mapunda akinyunyuzia mafuta ya baraka kwenye jeneza la marehemu. Ibada hiyo ikiendelea. Huzuni katika ibada hiyo. Vilio vikitawala katika ibada hiyo. Vilio vikitawala katika ibada hiyo. Ni vilio vitupu vikitawala katika ibada hiyo. Askofu wa Jimbo Katoliki Singida Mhashamu Edward Mapunda akiongoza msafara wakati wa kuingiza jeneza la marehemu kwenye gari tayari kwenda kijijini kwao kwa mazishi. Watawa wa Jimbo Katoliki...

TAKUKURU SINGIDA YACHUNGUZA MIRADI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA BILIONI.1

Image
p> Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida, Mzalendo Widege , akitoa taarifa kwa waandishi wa habari ya utekelezaji wa shughuli za taasisi hiyo katika kipindi cha robo ya nne ya mwakawa fedha 2020/2021. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Taasisi hiyo Mkoa wa Singida, Adamu Kilongozi. Maafisa wa Takukuru wakiwa katika kikao hicho cha utoaji wa taarifa kwa waandishi wa habari. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma wa Taasisi hiyo Mkoa wa Singida, Samson Julius, Mkuu wa Taasisi hiyo Wilaya ya Iramba, Ahmed Sungura na Mkuu wa Taasisi hiyo Wilaya ya Mlalama, Yasini Mohamed.  Maafisa wa Takukuru wakiwa katika kikao hicho. Kutoka kushoto  ni  Paul Kaheshi na   Theopister  Tembo.  Maafisa wa Takukuru wakiwa katika kikao hicho. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Taasisi hiyo Wilaya ya Ikungi, Erick Nyoni na Hamisi Kilulani. Afisa Takukuru Mkoa wa Singida, Shemu Mgaya akiwa kwenye kikao hicho. Maafisa wa Takukuru wakiwa katika ki...

SERIKALI MKOA WA SINGIDA YAMKABIDHI MWENGE WA UHURU MKUU WA MKOA WA DODOMA

Image
 Mkuu wa Mkoa Singida, Dk.Binilith Mahenge (kulia) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru 2021 Mkuu  wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka katika Kijiji cha Naguru wilayani Bai baada ya kuhitimisha mbio zake mkoani humo leo. Mwenge wa Uhuru ukiwa mkoani Singida ulitembelea miradi mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya Sh.8 Bilioni. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk.Binilith Mahenge (katikati), akisoma taarifa ya mkoa wakati wa kukabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkoa wa Dodoma. Wengine kushoto kwa Dk. Mahenge ni Viongozi mbalimbali wa mkoa huo na kulia ni Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Singida.. Na Dotto Mwaibale, Singida SERIKALI  Mkoa wa Singida chini ya Mkuu wa Mkoa huo Dk.Binilith Mahenge  leo asubuhi wamemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  Anthony Mtaka baada ya kumaliza mbio zake mkoani humo. Akisoma hotuba ya makabidhiano Dk. Mahenge alisema kuwa Mwenge wa Uhuru ukiwa mkoani Singida ulikibimbizwa umbali wa Kilometa 642.3 na jumla ya miradi 55 yenye  gh...

VIJANA WA VYUO VIKUU SINGIDA WASEMA HUU SIO WAKATI WA KUHITAJI KATIBA MPYA

Image
  Mwenyekiti wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa  Singida,  Michael Madirisha akizungumza  katika  kikao cha mkutano mkuu wa vyuo hivyo ulioketi mjini hapa leo. Kulia ni Katibu wa Seneti, Paul Dotto na kushoto ni Katibu Hamasa wa Seneti hiyo , Amina  Mussa. Kikao kikiendelea. Kikao kikiendelea. Mkutano ukiendelea. Katibu wa Seneti  ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa  Singida , Paul Dotto, akizungumza kwenye kikao hicho. Spika wa Bunge la Serikali ya  Wanafunzi ( TIASO) Taasisi ya Uhasibu Tanzania ( TIA) Kampasi ya Singida, Salim Salim  akizungumza kwenye kikao hicho. Mwanafunzi wa  Taasisi ya Uhasibu Tanzania ( TIA) Kampasi ya Singida, Masele Richard,  akizungumza kwenye kikao hicho. Rais wa Serikali ya Wanafunzi ( TIASO) Taasisi ya Uhasibu Tanzania ( TIA) Kampasi ya Singida , Hamisi Ibrahim,  akizungumza kwenye kikao hicho. Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Singida, Vedastus Nkonya, akizungumza kwenye kikao hicho. Na...

WANASAYANSI CHIPUKIZI WATAKIWA KUPELEKA UJUZI WAO KWA JAMII

Image
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dorothy Mwaluko ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati akifunga Mashindano ya Wanafunzi  Wanasayansi Chipukizi kutoka Sekondari mbalimbali yaliyofanyika mkoani hapa jana ambayo yaliandandaliwa na Taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST) akizungumza na wanafunzi hao. Wanafunzi  Wanasayansi Chipukizi kutoka Sekondari mbalimbali, wakionesha kazi zao kwa Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dorothy Mwaluko alipotembelea mabanda kwenye mashindano hayo. Wanafunzi wakiwa kwenye mashindano hayo. Walimu wakiwa kwenye mashindano hayo. Washindi wa mashindano hayo wakiwa na vyeti vyao baada ya kukabidhiwa. Wanafunzi wakiwa kwenye mashindano hayo. Wanafunzi wakiwa kwenye mashindano hayo. Na Dotto Mwaibale, Singida WANA SAYANSI Chipukizi wametakiwa kupeleka kwa jamii ujuzi walioupata wakiwa shuleni badala ya kuufungia kwenye makabati. Wito huo unetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dorothy Mwaluko ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati akifunga mashindano ya Wanafunzi...

MIRADI YA SH.2.9 BILIONI YAZINDULIWA MBIO ZA MWENGE WILAYANI IKUNGI

Image
Mkuu wa Wilaya ya Singida Paskas Mulagiri akimkabidhi Mwenge wa Uhuru 2021 Mkuu wa wilaya Ikungi, Jerry Muro katika Kijiji cha Utaho baada ya kuhitimisha mbio zake wilayani humo leo. Mwenge wa Uhuru ukiwa wilayani Ikungi unatarajiwa kupitia miradi mbalimbali yenye thamani ya Sh..2.9  Bilioni. Mwenge wa Uhuru 2021 ukikimbizwa kabla ya kukabidhiwa Wilaya ya Ikungi. Waratibu wa mbio za Mwenge Mkoa wa Singida wakiwa kwenye makabidhiano ya Mwenge huo. Kurukaruka kwa furaha kukiendea wakati wa makabidhiano ya Mwenge huo. Furaha tupu kwenye makabidhiano ya Mwenge huo Mwenge wa Uhuru ukipokelewa. Wanafunzi wakiwa kwenye mapokezi hayo. Kurukaruka kwa furaha kukiendea wakati wa makabidhiano ya Mwenge huo, hawa ni wapambanaji kutoka Wilaya ya Singida. Wananchi wakiwa kwenye makabidhiano ya Mwenge huo. Wananchi wakiwa kwenye makabidhiano ya Mwenge huo. Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru yakiendelea.  Wajumbe wa kamati ya ulinzi na Usalama Wilaya ya Ikungi wakiwa kwenye makabidhiano ya Mwenge huo...