SUA, TAASISI ZOTE ZA WIZARA YA KILIMO WASAINI MKATABA WA KUINUA KILIMO NCHINI
Wakuu wa Taasisi zote zilizo chini ya Wizara ya Kilimo zinazojishughulisha na undelezaji wa pembejeo za Kilimo Utafiti na uzalishaji na wawakilishi wao wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kusaini mkataba wa ushirikiano kati ya Taasisi hizo na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) katikaafla iliyofanyika Februari 9, 2023 mkoani Morogoro. Na Calvin Gwabara, Morogoro. CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na Taasisi zote zilizo chini ya Wizara ya Kilimo zinazojishughulisha na undelezaji wa pembejeo za Kilimo Utafiti na uzalishaji zimesaini mkataba wa mashirikiano ujulikano 'MoU. ambao utasaidia kuongeza ushirikiano katika utendaji wa Taasisi hizo na kuongeza ufanisi na tija katika kilimo nchini. Akizungumza kwenye hafla hiyo Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo upande wa Taaluma Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu Prof. Maulid Mwatawala kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Raphael Chibunda alisema awali SUA ilikuwa iing...



Comments
Post a Comment