RUWASA WILAYA YA SINGIDA YAANZA KWA KASI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAJI
Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Wilaya ya Singida (RUWASA) , Mhandisi Athuman Mkalimoto akizungumza muda mfupi baada ya kupokea mabomba na vifaa mbalimbali vitakavyotumika kutekeleza mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya milioni 316 kwenye Kijiji cha Mitula, Wilaya ya Singida jana. Mhandisi wa RUWASA Wilaya ya Singida Joel Kibusi (katikati mwenye miwani) na wataalamu wengine (upande wa kulia) akikabidhi mabomba yenye ukubwa tofauti kwa wananchi wa kijiji cha Mitula utakapotekelezwa mradi huo. Mtaalamu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Wilaya ya Singida (RUWASA) , Mhandisi Joel Kibusi kwa niaba ya Meneja wa RUWASA Wilaya ya Singida, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mitula wakati wa hafla ya kupokea vifaa vitakavyotumika kwenye ujenzi wa mradi huo. Mwonekano wa mabomba hayo. Mtaalamu wa RUWASA Wilaya ya Singida Ernesta Kihwele, akielekeza jambo baada ya kupokea vifaa hivyo. Wananchi na mmoja ...






Comments
Post a Comment